Tuesday, December 27, 2016

Wananchi watakiwa kutunza vyanzo vya maji

Baadhi ya MAENEO yaliyoharibiwa na wavamizi wakulima na kulima karibu na vyanzo vya maji katika Shamba la miti West KILIMANJARO .wananchi hao wametakiwa  kuondoka na kusitisha shughuli hizo la KILIMO  mara moja kabla hatua Kali za kisheria hazijachukuliwa dhidi yao 




Wednesday, November 2, 2016

DCC wilaya ya siha yafanya kikao cha kawaida leo tar 2.11.2016


Wajumbe wa kamati ya ushauri ya Wilaya ya SIHA yafanya kikao cha kawaida leo katika ukumbi wa mikutano wa HALMASHAURI ya SIHA

Sunday, May 17, 2015

USAILI AJIRA MADEREVA



HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA

                                                                                                                          12.05.2015

TANGAZO LA USAILI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha anawatangazia  usaili wa kazi ya udereva  utakaofanyika  Tarehe 15.05.2015.  Wafuatao wanatakiwa  kufika  Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Siha muda wa saa mbili (2:00) asubuhi.

1.       ABDALLAH JUMA MKAMBI
2.       ABDI SHABANI  MWANSANGA
3.       BAHATI BENESI KAMAGA
4.       BIUCLANDE DANIEL PALLANJO
5.       CHARLES RICHARD MTERA
6.       DANNY DANIEL
7.       ELIAS ELISA KIMARO
8.       EVARIST ALOYCE ASSEY
9.       GEORGE P LUEAS
10.   HENRY MARTIN SOLOMON
11.   JAPHET BRYSON MSUYA
12.   JOHN E MAHUNDI
13.   JOHN LECK TEMU
14.   JOSHUA PETER LUKONDE
15.   KEPHA ARTHUR  JUSTO
16.    RAJABU HAMIS
17.   WILBERT FREDRICK MAIM
18.   YOENI A MBWAMBO

NB:Tafadhali fika na vyeti Halisi vya kusomea (original certificates) pamoja na Leseni ya udereva

NB:Tangazo hili pia linapatikana kwenye blog  ya Halmashauri ya Siha, ingia google, andika :sihaleo.blogspot.com

Limetolewa na


Rashid S Kitambulio
                                                        Mkurugenzi Mtendaji (W) Siha

Friday, April 24, 2015

UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI SIHA 2015

Mbunge wa Jimbo la Siha Aggrey Mwanri katikati akikagua miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha. Mbunge huyo aliambatana na viongozi na Wataalam mbalimbali katika ziara hiyo

Wednesday, March 5, 2014

mbegu za maharage


Wataalam kutoka chuo kikuu cha Kilimo Sokoine kilichopo Mkoa wa Morogoro (SUA) wamesambaza mbegu bora za Maharage  zaina ya aina tano katika Halmashauri ya  Wilaya ya Siha .
 Mbegu hizo  bora za Maharage  zimefanyiwa utafiti katika kituo cha Lyamungo na Emmaus kwa Masista na kuonekana kuwa na mafanikio makubwa.
waliopatiwa mbegu hizo ni pamoja na Watendaji wa Vijiji,Maafisa Ugani,Baadhi ya watumishi katika Idara ya Kilimo na Ushirika pamoja na Baadhi ya waheshimiwa Madiwani na kutakiwa na Wataalam hao kuwa mfano kwa Wakulima Wengine.