Wednesday, March 5, 2014

mbegu za maharage


Wataalam kutoka chuo kikuu cha Kilimo Sokoine kilichopo Mkoa wa Morogoro (SUA) wamesambaza mbegu bora za Maharage  zaina ya aina tano katika Halmashauri ya  Wilaya ya Siha .
 Mbegu hizo  bora za Maharage  zimefanyiwa utafiti katika kituo cha Lyamungo na Emmaus kwa Masista na kuonekana kuwa na mafanikio makubwa.
waliopatiwa mbegu hizo ni pamoja na Watendaji wa Vijiji,Maafisa Ugani,Baadhi ya watumishi katika Idara ya Kilimo na Ushirika pamoja na Baadhi ya waheshimiwa Madiwani na kutakiwa na Wataalam hao kuwa mfano kwa Wakulima Wengine. 


No comments:

Post a Comment