Baadhi ya MAENEO yaliyoharibiwa na wavamizi wakulima na kulima karibu na vyanzo vya maji katika Shamba la miti West KILIMANJARO .wananchi hao wametakiwa kuondoka na kusitisha shughuli hizo la KILIMO mara moja kabla hatua Kali za kisheria hazijachukuliwa dhidi yao



